Sina nyota ya kukataliwa na mwanamke

Sina nyota ya kukataliwa na mwanamke

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,568
Reaction score
28,479
Habari wanna Jukwaa pendwa MMU

Sijui kama ni kawaida au jambo la ajabu.

Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia, yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku mbili tu.

Sihongi wala nini natema maneno tu.

Kwa kweli nashangaa.

Wakuu kama mambo haya yanahusiana na mambo ya nyota tafadhali nielewesheni.
 
Utakuwa unatongoza vicheche wenzako.Mwanamke anayejiheshimu huwezi kumpata kirahisi kama unavyojisifia na hilo suala halihusiani na nyota kama unavyojisifu.
 
Aaaaah mkono mtupu haulambwi labda promo ila game unapewa au sound mvua then unapotea?????
 
Habari wanna Jukwaa pendwa MMU

Sijui kama ni kawaida au jambo la ajabu.

Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia , yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku MbiLi tu.

Sihongi wala nini natema maneno tu.

Kwa kweli nashangaa.

Wakuu kama mambo haya yanahusiana na mambo ya nyota tafadhali nielewesheni.
una umri gani?
 
Dah hongera kwa kujijali.. ila kuwa makini mkuu, maana siku hizi si kama zama za miaka ya tisini, aliyeukwaa unamjua hata bila kutumia darubini. Zama hizi kuna ARV`s.
 
Hakuna kitu kama hiko hata Brad Pitt ana asioweza kuwapata....unless uwe unatongoza 'wanyonge wako only'
 
Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia , yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku MbiLi tu.

Sihongi wala nini natema maneno tu.

Nitaamini pindi tu utakapoweza kumtongoza mwanamke yoyote hapa jamvini (sio kule PM) na ukakubaliwa...

Azawaizi hii ni stori tu kama sio promo...
 
Habari wanna Jukwaa pendwa MMU

Sijui kama ni kawaida au jambo la ajabu.

Kila mwanamke ninayemtongoza hajawahi kunikatalia , yaani natongoza Majibu yanatiki ndani ya Siku MbiLi tu.

Sihongi wala nini natema maneno tu.

Kwa kweli nashangaa.

Wakuu kama mambo haya yanahusiana na mambo ya nyota tafadhali nielewesheni.

Unatongoza wale wanaofanana na wewe .......na hujakumbuka vizuri haiwezekani usikataliwe............
 
tafuta pesa fanya maisha dogo.ukishazipata hakuna wakukataa..
 
Utakuwa unatongoza vicheche wenzako.Mwanamke anayejiheshimu huwezi kumpata kirahisi kama unavyojisifia na hilo suala halihusiani na nyota kama unavyojisifu.

Kula like mia nane mkuu....
 
Back
Top Bottom