benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Nakwambia piga ua hamna kitu ina nguvu kama kutongozana kilugha....kama una mpenzi wa kabila tofauti alafu mkaenda mahali ukaona anaongea kilugha na mtu jinsia tofauti na yake ,mkamate mkono mburuzie nje muondoke...itakula kwako mazee. Nimeshaifanya hii mara nyingi na haijawai kuniangusha hata kidogo.