Kwa wale walioipita depo iwe POILISI, JKT au JWTZ mtakubaliana na mimi mkiwa depo huwazi hata siku moja mapenzi wala kupenda. Kuna sababu nyingi zinazosababisha hizi
1. Kwanza huoni msichana wa kutongoza au kutokanae kimapenzi, wote mko sawa kimuonekano, no maker up, no wanja mkiwa depo na kwa ujumla hakuna saloon, no everything depo wote mnanyoa kwa wembe. Wasichana sura ngummu kuliko wanaume
2.Unawaza viunga/ maeneo ya usafi pia unawaza hasa kwa POLISI mchachaka wa saa 8 usiku, unawaza kunyosha, kubru (kubrush viatu)
3. Hakuna muda huo, mnabanwa sana na ni kesi ya kukufukuza mafunzo kama utakuta unagida kruta mwenzako, kruta ya kike ni mali ya afande
4. Shuruba/mahovyohovyo kibaoo usiku na mchana.
Mnakumbuka song hizi wadepo
Nikimaliza depo nitamuuona dea/mama
John john mzanaki john wa mara john!!!! John john mzanakiiii john wa mara.
Mama jane.
Mbonge! Mbonge analia bonge
Diena diena
If I die don't bury me here take my body to my mom! Ndelemooo waliokufa, walikokufa
Selina Selina uongo wako Selina! Umemdanganya afande uongo wako Selina akalala mlango wazi uongo wako Selina *2 uongo wako selinaaaa.
Jamani depo hakuna baby ila hakuna maisha mazuri kama depo
Mwenye mavituzi atupie Zaidi