Je waweza tambua katika mazungumzo (mabishano) yafuatayo ni kati ya nani na nani? Yaani X ni nani na Y ni nani? Mazungumzo yapo hivi:
X : Mimi naweza kusimama bila miguu.
Y : Acha jeuri mimi...
Jamani naomba kuuliza, nilisoma humu kuwa kutakuwa na JF PARTY around mwezi wa sita au saba hivi na ingefanyika Serena AU Kempiski.
Je! ilishafanyika nimepitwa au bado?
Kama bado itafanyika...
I have learned a lot in life. It is better to be alone than to have a coupe of fake and pretending friends. Siwataki kabisa nyinyi tena mnikome kabisa. Siwahitaji. Leave me alone.
Fresh air...fresh idear...fresh talent...fresh energy.... I wish u to have a special sunday...marvellous monday....tasty tuesday....wonderful wednesday...thankful thursday....frandly...
Ni M/kiti wa Chama Cha Maendeleo Ya Wanaume Kenya.
Pia anamiliki advisory group ambayo aim ni "to counter focus on women & girls affairs at the expense of men & boys".
Njoka ni famous kutokana...
Nimeshasoma thread kadhaa za watu waliopigwa ban hapa JF. Kwenye thread hizo wanazoandika
baada ya kumaliza ban, wanajf hao hulalamika sana kwamba wameonewa kwa kupigwa ban au wanawalalamikia...
Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni,
Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kupenda vya bure
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE
FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...
Nilipanda daladala kutoka Temeke kwenda Mkuranga. Ndani ya daladala tukawa tunatumbuizwa na nyimbo za kizazi kipya. Ikafika wakati wakaweka wimbo wenye kiitikio "naweka, natoa". Basi dada mmoja...
Taja jina la mtu unayeona anafaa kuwa kwenye nafasi husika katika serikali yetu hapa jukwaani "JF" kama ilivyo ainishwa hapa chini.
NB.Mtajwa ni sharti awe membea hai wa JF.
A.SERKALI KUU YA...
Habari zenu jf, kuna mama mmoja nilikuwa nine panda naye gari akawa anazozana na vijana wawili akiwaambia kwa nn wamevaa mlegezo,madai ya huyu mama ameishi Mombasa at anajua maana ya mlegezo...
Jamaa anatembea kitaa huku njaa kali ikimnyanyasa na mfukoni hana hata bati.Mara akaliona bango la restaurant moja limeandikwa;'KULA KADRI YA UWEZO WAKO ,BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'.Jamaa...
Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'...
Mtoto kasikia mama usiku akimwambia baba mi natakaa, nipee tena, nipe nilambe, baba aka mwambia fungua zp. Mama akasema tamu, du mtoto kakurupuka akamwambia baba yake na mi nataka ckajua pipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.