BATTO
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 282
- 207
Vijana saba wa kiume wamekaa kijiweni wanapiga story mmoja akaanzisha mada ya kumzungumzia shetani basi wale wenzake wakadakia huyo shetani unaye mzungumzia mbaya sana kila siku anawatia watu majaribuni wafanye dhambi hatutaki kabisa kumsikia mara mabishano yakaanza wengi walimponda shetani..
Mmoja kati yao m'bishi sana akawa anamtetea shetani... jamani hakuna kitu kama hicho shetani mbona mzuri tu nyinyi ndo mnazingua mimi nawaambia kabisa msimamo wangu ni mmoja tu kwamba shetani mzuri yaani dhambi mfanye nyie mumsingizie shetani..
Basi ikawa mazoea kila siku jamaa ana mtetea shetani..usiku yule mtetezi wa shetani akaota ndoto shetani kamtokea akamwambia usiniogope kijana mzuri mimi ni shetani nimekusia mara nyingi ukinitetea na kunisifia..Nimeona nikupe zawadi..aya panda mgongoni nikakuonyeshe hazina yako kijana..jamaa akapanda wakaanza kupaa..
Wakafika kwenye milima mikubwa sana kwa mbali kijana akawa anaona matundu mbalimbali yanang'aa kama dhahabu..shetani akamwambia unaona yale matundu yang'aayo zile ndio hazina zenyewe..walipotua yule kijana akawa anashangaa yale matundu yanayo ng'aa mingine makubwa sana mingine madogo..shetani..kijana wangu mzuri na hii ndo hazina yako..akamwonyesha tundu moja dogo sana..kijana akafurahi na kumshukuru shetani..kwa shingo upande akawa anajiuliza kwa nini apewe tundu dogo vile..
Akageuka na kumpa mkono shetani akimshukuru sana huku mkono mwingine ameuweka kwa nyuma na kuingiza kidole kimoja kwenye lile tundu la hazina ili aliongeze ukubwa apate hazina nyingi bila shetani kumuona..akaingiza kidole chapili na cha tatu ili tundu la hazina liwe kubwa zaidi...Mara akashtuka kutoka usingizina akakuta ameingiza vidole vitatu kwenye kabaang yake akatahamaki..,
Kesho yake kaenda kijiweni mpole sana..Mada ya shetani ilipoanza tu jamaa akadakia shetani mbaya sana wenzake wakataka kujua kulikoni leo awe mbaya akabaki anajing'atang'ata bila kusema ukweli.,