Unaona raha kuwalimbikizia wenzio madeni!

Unaona raha kuwalimbikizia wenzio madeni!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
Jamaa anatembea kitaa huku njaa kali ikimnyanyasa na mfukoni hana hata bati.Mara akaliona bango la restaurant moja limeandikwa;'KULA KADRI YA UWEZO WAKO ,BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'.Jamaa akafurahi kweli,akazama ndani na kuagiza makulaji ya kila aina kwa vurugu zote.
Baada ya kula na kushiba ile kisawasawa,akashangaa kuletewa bili moja ya hatari akitakiwa ailipe.Jamaa akamuuliza mhudumu;kwani lile bango pale nje limeandikwaje?.Mhudumu akamjibu;kaka nimekuelewa,lakini hii bili unayotakiwa kulipa sio yako,ni ya babu yako!
 
Mkuu Jaguar taratibu wana JF hatuna mbavu za chuma utatuvunja bureeeeeeeeeeeeeee kwi kwi kwi kwi ..........
 
Eti eenh,kuna ukweli fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom