Sema sehemu ambayo wanaweza kukupata,mana wanaichukia jf,wanasema watu wanausema vibaya utawala wao na kuleta uchochezi kupitia jf,na kuna baadhi wanatamani wawajue members wa jf sehemu mlipo na...
Young Ladies. You add him on Facebook . He checks your pictures . He confirms . He in boxes you . You reply , all excited . You'll want to hook up . Set a date . You dress up , smell good , make...
Janeth mbugwa wa citizen tv,anaendesha mjadara wa mahusiano kwa vijana,mada nzuri sana kwa ambao hawajaingia kwenye ndoa.
ni vizuri tv za bongo wakajifunza kuleta mada kama hizi
Habari za leo wana MMU wote?
Naomba kuuliza tu hivi kwa nini wanaume wengi wakimaliza kukojoa hutema mate, haijalishi choo ni kichafu au hapana, na mbona wakimaliza haja kubwa huwa hawatemi mate...
Hello,
Natafuta msichana wa kubadilishana nae mawazo hasa juu ya elimu ya jinsia. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 36. Kama upo interested ni PM na namba yako. Sihitaji wanaume.
Thanks..
Wapendwa, wana JF
Kuna mtoto wa kishua wazazi wake wameniomba nimfundishe tuition, na ni wiki ya pili nakapiga pindi.
Tatizo huyu mtoto anakuja na mavazi ya kulalia halafu ananiigizia mambo ya...
Hehehe ngoja nicheke coz JF wote hawanikubali wananiona mhuni hata hii ban ya 31,madikteta kama Gadafi na Amini walipendwa isiwe mimi?muda unaruhusu unichunguze,usiridhike kisa...
Ndugu wana MMU,
Ni jumamosi tulivu ila inaanza kuleta chokochoko ndani ya bichwa la babu....
Naomba mwenye taarifa anijulishe wapi naweza kuwaona Chonya wa Chilonwa, Rashid wa Kuli na Mzee...
Ndugu wana JF, Naona tuchemshe bongo kidogo kwa kujibu swali rahisi tu; Kati ya siku kuu hizi mbili maarufu duniani kwa maana ya kristmas na mwaka mpya, ni ipi inatangulia?(husherehekewa kwanza)...
Habari za leo mchana wana Jf,
Hebu tupeane misemo mbali mbali ya mitaani;
1. Miluzi mingi humpoteza mbwa
2. Mbona upo juu juu kama nyama dukani
3. Ukubwa wa kitambi hauvunji miguu
4. Unauliza...
Hellow my queen, wherever you are, whatever you do, i appreciate you existence...
Nimeamka asubuhi malikia wangu nikiwa na mengi kichwani... mojawapo ni hili la kutangazia umma juu ya umuhimu...
Na Inatokana Na Kuoga Kibishoo Bint Unaingia Bafuni Ndani Ya Dakika Tatu Umetoka, Hamjisugui Ukianga Tum.A.T.A.K.O Tweusi Tii Yaani Full Ukurutu Kwenye Miguu Ndio Usiseme Umejaa Makegete...
Ukipita huko facebook na instagram sijui... zaidi ya 90% ya kina dada akitupia picha mbili tatu, lazima moja inakuwa imepigwa from behind...
Ni style tu au huwa labda kuna message mi sielewi?
Mi...
Aina za vimada
1.Wale wa chapa ilale, huyu ni one nite stand, flirting, sio serious, nikikumbuka nakusaka, nakuchapa, no string attached, baadae tukikutana ni mchuno kama hatujawahi juana, hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.