Konda na Mlokole

Konda na Mlokole

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Nilipanda daladala kutoka Temeke kwenda Mkuranga. Ndani ya daladala tukawa tunatumbuizwa na nyimbo za kizazi kipya. Ikafika wakati wakaweka wimbo wenye kiitikio "naweka, natoa". Basi dada mmoja, ambaye nahisi alikuwa mlokole akmwambia konda: "Weee konda toa hizo nyimbo za kidunia, tuwekee nyimbo za Yesu". Basi konda bila kuchelewa akamjibu: "We dada acha kushoboka, Yesu bado hajatoa albamu. Tunazo za Mwaitege, Rose Muhando, lakini hatujapata albamu ya Yesu" Basi watu wote kwenye daladala mbavu hatuna.
 
ninakupa alama mia kwa mia kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom