Naomba kujua Umri sahihi

Naomba kujua Umri sahihi

Innay

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
297
Reaction score
291
Jamani ni umri upi sahihi wa kuingia kwenye ndoa ili kuweza pata watoto wa 3. bila matatizo ya uzazi??

naomba kujua.
 
Miaka 23 nadhani itakuwa sawa mpk ukifika miaka 33 umemaliza uzazi
 
wanaopata matatizo ya uzazi hawakuzingatia umri sahihi?
mmmmh.....
 
miaka 30 na kuendelea kwa wanawake
 
tatizo changamoto za shule na wazazi...
Above 30 kuna complications
 
Back
Top Bottom