kaka yako ana mke wingi je nipe jibu

kaka yako ana mke wingi je nipe jibu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,934
Reaction score
3,253
ikiwa kaka yako ameoa utasema kaka yangu ana mke je ikiwa una kaka wengi na wote wakaoa utasemaje??????
 
Ukifuata sheria za ngeli unatkiwa kusema 'kaka WAngu wameo',,, kwa kua ngeli ya YU-A-WA tu! Ndo inayotumika kwa binadamu na baadhi ya viumbe hai vingine.
 
kuna tofaut kati ya wana wake na wanawake hiyo nafac inamaana kubwa,, so just simple kaka zangu wana wake
 
Back
Top Bottom