Kama umezaliwa 90's usipite hapa maana huna experience

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin
5. Kupamba kadi na pamba sebuleni
6. Ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
7. Kunyolewa na mkasi
8. Kufunga pesa kwenye leso au pindo la kanga
9. Wavulana Kuvaa Nguo ya ndani aina moja nchi nzima VIP, usiombe ikakatika ukakuta imebana Kifua.
10. Ku rewind kanda kwa peni
11. Nchi nzima Kuangalia Movie ya Commando John, Double Impact, Rambo na Bluce Lee..
12. Watoto Wa Mtaa Mzima Kufahamiana sababu ya kucheza Wote Jioni Kombolela na Kibaba..
13. Kuunguzana na tunda ya Ubuyu baada ya kuisugua chini
14. Kukata ndala, ati ni kifutio
15. Kunyolewa msalaba shuleni kisa nywele ndefu
16. Kuweka Vibox box kwenye Shati la shule Mgongoni..
17. Kuweka Shati la Shule "Blue" eti liwe zuri.
18. Ubitoz Ulikuwa ni Kusimamisha Kora Ya Shati.
19. Ukiandika Barua kwa Umpendae lazima uchore moyo na Mkuki na lazima upulizie Pafyumu ya "YU".
20. Hata kama Mlikuwa mmegombana January lakini Mtu anakuambia "Utaipata Siku Ya Kufunga Shule".

Je wewe unakumbuka nini??
 
Kweli kizazi cha supra hakiwezi kujua haya yote.Nimekumbuka mbali lakini hiyo namba 20 ndio nimeikmbuka sana na kucheka.

Nilikuwa monita class sasa kuna demu nikamuandika jina akachapwa,basi akasema subiri tufute shule utaona.Basi mwezi wa 12 kufunga sina habari na ili wala lile nikastukia nimevamiwa,aisee yule dada wa kichaga alinishushia kichapo ambacho sitokisahau.Mbaya zaidi wanafunzi wakaanza nizomea nimepigwa na mdada ila ukweli yule dada alikuwa na nguvu sana.

Pia umesahau;

21. Kuvua na kufuga samaki
22. Kuwinda ndege
23. kuendesha ringi ya baiskeli
 
  • [*=1]Choo ya shule haikuwa na maji kwa ajili ya mtawazo, badala yake unatembea na gunzi mfukoni, au majani ukikosa vyote unatazama kulia na kushoto hamna mtu unakaa ardhini unasota harakaharaka au ukizidiwa kwenye kona ya ukuta then unatimua,

  • [*=1]Kutumia u.p.u.p.u kukomesha wanaotumia kuta na sakafu kama toilet paper mbadala, akiingia darasani utatambua tu kuwa huyu kakiuka kanuni za mtu ni afya, kiti kinakuwa hakikaliki
 
sema kwa huku kijijii kwenu dsm mambo hayakuwepo kabisa
 
attachment.php
 
Hapo penye red pameniacha hoi sana ,
nami nauliza unaikumbuka hii kitu? je umeshaitumia?? mimi nilinunuliwa na mama toka zambia !!!!!
 
duu kumbe watambuzi ni wengiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
-----,gunzi na kuchamba kwa ukuta nmecheka kweli hadi kwa daladala wamenishangaa zamani kutam... pia kuwa na zamu ya ulinzi primary jioni....
 
  • [*=1]Choo ya shule haikuwa na maji kwa ajili ya mtawazo, badala yake unatembea na gunzi mfukoni, au majani ukikosa vyote unatazama kulia na kushoto hamna mtu unakaa ardhini unasota harakaharaka au ukizidiwa kwenye kona ya ukuta then unatimua,

  • [*=1]Kutumia u.p.u.p.u kukomesha wanaotumia kuta na sakafu kama toilet paper mbadala, akiingia darasani utatambua tu kuwa huyu kakiuka kanuni za mtu ni afya, kiti kinakuwa hakikaliki

Nimechekaje, pokea LIKE yangu mkuu siiioni kwenye screen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom