Wana jf leo ngoja niwakumbushie kituko kilichotokeaga ukweni kwangu huko machame uchagani kwa mara ya kwanza nilienda na mchumba yangu kwao machame kujitambulisha kwa vile mm mtu wa pwani, tanga ikanibidi niende na zawadi ya nazi na vitu kibao kibao kwa kweli nilifurahia sana mapokezi yao
Ikabidi nitoke na mchumba yangu mpaka himo kwa mjomba yake tukakaa huko mpaka mida ya mchana tukarudi machame kula msosi nakumbuka ilikua ugali maharage chakushangaza ni kuona naletewa nazi kama ilivyo kwenye bakuli ikiwa imechemshwa kwenye sufuria la maharage namnukuu mama mkwe akimuuliza mchumba yangu eti manka hii nazi inaiva baada yamdagaani mbona tokea asubuhi nimeichemsha alafu bado haijaiva ilibidi mchumba acheke tu kwa aibu.