Mimi nilijua ni bongo tu kumbe hadi Ulaya

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,783
hivi karibuni nimemaliza safari ya porini na raia wa uswisi.wageni hao ni wawili maana ya mtu na mpenzi wake,
wakati nawapokea jro airport nilijua ni mtu na mama yake,yarabi toba nikawauliza mkoje?wakaniambia
ni mtu na mpenzi wake.mama miaka 55 ni hakim,kijana ni muuza bar miaka 22.kimbembe ni kila hoteli tunayokwenda
wanataka kuwapa vitanda viwili yaan twin wakijua ni mtu na mama yake,mama analetaje noma mbaya.
ikabidi kila tukienda hoteli nyingine inabidi nishuke nikimbie chap mapokezi kuwapa angalizo maana wengine
wanahamaki sana na kuonyesha mshangao.lakin safari ilikua nzuri.
 
na hadith yetu ikaishia hapo..... haya inatufundisha nin?? anaejua anyooshe kidolee
 
hivi karibuni nimemaliza safari ya porini na raia wa uswisi.wageni hao ni wawili maana ya mtu na mpenzi wake,
wakati nawapokea jro airport nilijua ni mtu na mama yake,yarabi toba nikawauliza mkoje?wakaniambia
ni mtu na mpenzi wake.mama miaka 55 ni hakim,kijana ni muuza bar miaka 22.kimbembe ni kila hoteli tunayokwenda
wanataka kuwapa vitanda viwili yaan twin wakijua ni mtu na mama yake,mama analetaje noma mbaya.
ikabidi kila tukienda hoteli nyingine inabidi nishuke nikimbie chap mapokezi kuwapa angalizo maana wengine
wanahamaki sana na kuonyesha mshangao.lakin safari ilikua nzuri.

chezea shuga mammy wewe,ankereka kuonekana mdogo kwa serengeti boy wake
 
Kuliko kuwa na vischana pasua kichwa ni kuwa na bibi wa age kama hizo, Bora liendetu lol!
 
Hapo mama kamzidi kijana namba tu, lakini umri wanalingana
 
Safi sana hii

Age ain't nothing but a number.
 
as long as vinaingiliana hakuna shida ni kila mahali mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom