illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Kuna hii style ya watoto kucheza mchezo wa Kujificha au baba na mama, mnajipikilisha..Jamani hii michezo wakati mwingine siyo mizuri kwa watoto...Me simkubalii mwanangu kucheza kabisa..
Watoto wengi hujificha wanatafutwa weee wanatafutwaa kumbe wamejificha sehemu wananadooo...Mudaa wanakuja ibuka..
Huko utakuta dada na kaka wana do..Wajomba kama wako rika moja wanado..