:hail:Bado sijafikia wakati wa kuota mvi japo siujui ni wakati gani au umri gani mtu anaanza kuota mvi,ila akili huwa inavurugika kabisa ninapozifikiria ,Hivi mlioota mvi ,hiizi zinaanza kuota...
Wanabodi zamani uzuri wa mwanamke ulikuwa tabia sio sura na tabia yenyewe iliyokuwa inazungumzwa ni kufanya kazi hasa Kilimo, kupika, kuhudumia watoto, usafi na nidhamu.
Mwanamke na jiko walikuwa...
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la
nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na
mkuu kaitisha interview...
Kuna mtu aliekwenda kanisani Jumapili akatoa ushuda kuwa alikuwa na ebola na Mungu akamponya. Alipomaliza akataka ampe 'mic' mtu anayefuata, jamaa akakataa.
Jamaa: Sina ushuhuda mpe pastor...
Jamani Nimepata MKE Mpole, Mcha Mungu, Anajua Kupika, Mahaba Ndiyo Fundi, Nikimpiga Halii Wala Hasemi Kwao, Ananihonga Hadi Nachukia, Kanifumania Mara 7 Tena Live Lakini Kanisamehe HIVYO Sasa...
Ni kama story lkn kunajambo lakujifunza kwetu:
Baba 1 alikuwa anaosha gari lake jipya, mwanae mdogo 5yrs old akalichora hilo gari ubavun na jiwe. Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na...
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama...
Habari za mchana,
Ni jambo naomba kuwauliza wadada, Kwanini mtu akikwambia siku hizi umenenepa sana unakasarika? Juzi kuna mdada nimemwambia umenenepa akamind sana.
Hawa warembo wa kichaga na hawa watoto wa kagame wanaonekana kuwa warembo kweli kweli.
Nina ndoto za kwenda kilimanjaro kutafuta karembo huko.
Lakini nina ndoto za kwenda Kigali kutafafta mtoto...
During a robbery in Guangzhou, China, the bank robber shouted to everyone in the bank: "Don't move. The money belongs to the State. Your life belongs to you."
Everyone in the bank laid down...
Nimegundua leo tu, nawaheshimu sana wachaga wala siwatanii,ila hiki kitu kimenishangaza kidogo.LADISLAUS,FESTO, ERASTO, FRANK, ERIC, EDWIN, KELVIN kwa wanume. VIVIAN,LILIAN,VICTORIA na IRENE kwa...
Heshima kwenu!!!!!
Mwanaume unajisikiaje unapokuwa na mwanamke ambaye amekuzidi elimu na kipato pia?????????? And what you can do to make her be under your control? ?
Ni hilo tu..
1. They hate breast feeding their Babies but Like Breast feeding their boyfriends.
2. They Like saving most but they are the best spenders and most often they spend for no reason.
3. They...
Swali kwa wanawake. Hivi Mwanaume kuwa na miguu mizuri kuzidi ya wanawake kiasi kwamba kila Jamaa akivaa pensi kila Mwanamke anaropoka "miguu ya kike" ni tusi au Sifa? Maana kuna jamaa mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.