Habari za mchana,
Ni jambo naomba kuwauliza wadada, Kwanini mtu akikwambia siku hizi umenenepa sana unakasarika? Juzi kuna mdada nimemwambia umenenepa akamind sana.
Nami juzi nilikuwa kwa dada muuza vocha za simu. mtu wa mitumba akamletea suruali (wanaita nyanya pensi) kubwa. Akan'gaka kuwa wewe ukiona nguo kubwa unaniletea mimi ukome ushenzi wako!!!! Lakini mama yule ni mnene anastahili kuletewa nguo of that size.

hata akiwa boss wako anakuuliza inabidi useme uongo tu kuwa anapungua ili amani iwepo, hizi diet zitawaua kuna mdada huwa anakula ndizi mmoja mchana na kuku nusu, mishikaki 3.
wanapenda kuonekana ma model tu, ila ukimwambia nyuma umenenepa anafurahia eti, ila tumbo na mwili ni ugomvi mkubwa sana
hata akiwa boss wako anakuuliza inabidi useme uongo tu kuwa anapungua ili amani iwepo, hizi diet zitawaua kuna mdada huwa anakula ndizi mmoja mchana na kuku nusu, mishikaki 3.
Ukitaka kupungua haraka ni uwe na stress.
Te te te...mwenzio yuko kwenye diet afu wewe unaleta matani...
Wadada wengi mujini wako kwenye diet and the only thing they want to hear (hata kama ni uongo) ni umepungua...
Nilikuwa na office mate kila siku anauliza kama amepungua or not...na kwa kuwa tulikuwa tunajua jibu analotaka....hatukuwa na ugomvi nae...though ukimwangalia huoni difference...