habari wana jamvi?
binafasi napenda kukutana na kutengeneza marafiki wapya mahala popote nafasi itakapojitokeza.
kwa sasa numejiunga chuo cha diplomasia hapa dsm, hivyo ningependa...
.... #wcw ni moja kati ya hash tags zinazotumika kwa kasi sana hivi sasa katika mitandao mikubwa ya kijamii... sio mbaya kuileta na hapa jf especialy MMU maana ndo mahara pake haswaaa.
#wcw...
WAKUU NIAJE BANAA.HABARI ZENYUU BINAFSI.banaa waku kuna ndoto nimeota ila mmh kikweli imenishangaza kidogo.kuna dada mmoja nafanya nae kazi kikweli hakuna zaidi ya salam tu.jana si nika muota...
Ndio kwanza kashuka kutoka nyumbani Tanzania ,baada ya siku mbili tatu amechangamka na kuwa anazungumza kama yupo Tz,sasa siku moja tumekwenda dukani,moja kati ya maduka makubwa hapa mjini...
Asubuh na mapema unaamshwa kwa hodi na kilio kikubwa, unafungua mlango unamkuta ni rafiki yako wa karibu sana na analia kwa uchungu mno.
Unajitaidi kumnyamazisha lakini wapi, huku anaendelea kulia...
ONCE UPON A TIME
There was 3 best friends Mike, Josh and
Chris.These guys were good friends,they were very
open to each other.Many people envied them and
tried to destroy their friendship but...
Nawasalimu wapendwa wote wa jf kwa wale waliobahatika kulalia vitanda vyao nadhani wameamka salama pia kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawakulala wote salam kwenu
Haiwezekani kwamba shida yangu ni milion tatu tu nimemaliza marafiki zangu karibu 7 kila ninaemueleza anajifanya hana pesa longolongo kibao,urafiki huu wa mimi tu kujitoa kwa ajili yao naona...
Zamani enzi zile kuna chupa bia fupifupi nene, ilikuwa mwanamke akionekana ana mguu mnene halafu mfupi wanasema eti ana mguu wa bia....!! Sasa najiuliza hivi.....baada ya mabadiliko ya zile chupa...
Jamaa mmoja alishikwa ugoni na mke wa mtu, mwenye mke akamwambia mgoni wake achague adhabu moja kati ya hizi tatu.
Adhabu ya kwanza
Achukue kiwembe kipya kisha ajichanje umili wake wote...
Siyo utoke nyumbani kwako na kitoyota starlet chako na wese umeweka la buku 5 na mfukoni una buku mbili uone Samaki samaki ndio sehemu ya kupotezea muda utaumbuka.
A husband and wife are trying to set up a new password for their computer. The husband puts, "Mypenis," and the wife falls on the ground laughing because on the screen it says, "Error. Not long...
Wadau,
Pale BOT hakuna mama anayekubali uzee. Wamama wa BOT wana swagga asikwambie mtu.
Hakuna mama wa BOT asiyejiweka make up, tena make up hasa kama ile ya Asha Baraka.
Ukifika BOT, wamama...
A boss said to his secretary I want to have S.E.X with you I will make it very fast. I'll throw $1000 on the floor, by the time you bend down to pick it I'll be done. She thought for a moment then...
Wengi wetu muda kama huu tumechoka, makwazo mengi na mambo mbalimbali. Hebu basi pitia hii video "OMG Moments" waweza kujikuta uchovu unapungua, na makwazo nayo yanasahaulika...
Nimepanda daladala kutoka kariakoo kwenda mbezi sasa kuna mdada alikaa pembeni yangu anabofya simu yake samsung galaxy sasa kaachia mwanga mkali kama chub lite vile cha maana anachukifanya hamna ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.