:::Neno Moja Tu Kwa Mwalimu Mkuu Wa Shule Hii:::

:::Neno Moja Tu Kwa Mwalimu Mkuu Wa Shule Hii:::

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:

TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.

MWALIMU: Safi, haya juma

JUMA: Baba yangu dereva mama
yangu hafanyi
kazi.

MWALIMU: Vizuri, haya Zogo.

ZOGO: Mimi mama yangu malaya
anajiuza baba
simjui.

MWALIMU: Pumbavu wewe, nenda
ofisini kwa
mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi
wote
uliosema hapa. Zogo anaenda ofisini
anarudi
huku anatabasamu na anakula
biskuti.

MWALIMU: Mwalimu mkuu kakupa
adhabu gani?

ZOGO: Kaniambia nimpe namba ya
mama
halafu nimuelekeze kwetu kanipa na
hii biskuti.

NENO MOJA KWA MWALIMU MKUU
 
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:

TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.

MWALIMU: Safi, haya juma

JUMA: Baba yangu dereva mama
yangu hafanyi
kazi.

MWALIMU: Vizuri, haya Zogo.

ZOGO: Mimi mama yangu malaya
anajiuza baba
simjui.

MWALIMU: Pumbavu wewe, nenda
ofisini kwa
mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi
wote
uliosema hapa. Zogo anaenda ofisini
anarudi
huku anatabasamu na anakula
biskuti.

MWALIMU: Mwalimu mkuu kakupa
adhabu gani?

ZOGO: Kaniambia nimpe namba ya
mama
halafu nimuelekeze kwetu kanipa na
hii biskuti.

NENO MOJA KWA MWALIMU MKUU
Kwako Mwalimu Mkuu: BAKI NJIA KUU,MCHEPUKO SIO DILI!
 
Back
Top Bottom