Naogopa mvi

Naogopa mvi

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
:hail:Bado sijafikia wakati wa kuota mvi japo siujui ni wakati gani au umri gani mtu anaanza kuota mvi,ila akili huwa inavurugika kabisa ninapozifikiria ,Hivi mlioota mvi ,hiizi zinaanza kuota sehemu gani ,kila siku nakusanya viookama vitatu na kuviweka ili nipate picha ya kichwa changu kwa 3D na kuzichunguza nywele kama kuna iliyochipua ,ila nasikia uking;oa moja zinaota mbili ni balaa ,na zikianza tu natafuta dawa ya kuuwa nywele.:A S-eek:
 
Kweli we mwiba! Unaogopa mvi badala ya kuiogopea Afya yako na mambo mengine ya maana!! Kuota Mvi sio lazima uwe na umri mkubwa! Tena wewe kwa kuishi na huo wasiwasi wako wa kuogopa Mvi ndio utazipata mapemaaa kama hujazipata bado.
 
duh! woga wako ndo umaskini wako, fikiria mambo ya msingi wewe. acha kufikiria mvi.
 
Back
Top Bottom