thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Swali kwa wanawake. Hivi Mwanaume kuwa na miguu mizuri kuzidi ya wanawake kiasi kwamba kila Jamaa akivaa pensi kila Mwanamke anaropoka "miguu ya kike" ni tusi au Sifa? Maana kuna jamaa mpaka anashindwa kutongoza sasa cause kila akivua Nguo anaambiwa maneno yale yale!