The boss: Very interesting

The boss: Very interesting

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,960
Reaction score
2,945
Jamani kuna member humu anaitwa The Boss
Huyu member most of the comments he make to the posts, anajibu kwa ufupi "Very Interesting"

Hivi ndo yuko bize sana au? maana kila kitu yeye anajibu Very interesting, sishangai na hapa ataandika "very Interesting"
 
Last edited by a moderator:
Hahaha atakuwa ana drive .....
Lakini very interesting
 
si kila post hujibu hivyo kama huwa unazingatia utagundua huandika hivyo kwa post zip kulingana na kile akifikiriacho kwa wakati huo...... by the way huwa anaeleweka tu
 
si kila post hujibu hivyo kama huwa unazingatia utagundua huandika hivyo kwa post zip kulingana na kile akifikiriacho kwa wakati huo...... by the way huwa anaeleweka tu

manka avatar yako imeniita, samahani lakini!
 
Back
Top Bottom