Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
aidha ulishushiwa mvua, uligawa kichapo ama ngoma draw kote ni kupigana kule kule,
Nakumbuka mara ta mwisho ilikua mwaka jana mbwiga flani nlimkopa akawa hataki kulipa, bac nkaona icwe kesi nikamfata hadi
geto kwake mida ya alfajiri saa12 hata hajaswaki, msela si akaanza kunipa blah blah za kuntisha hanilipi, weeeeeh wacha nianze kumshughulikia instantly,
mara ya mwisho ulipigana lini, na nani, chanzo?