Niambie kaka yangu Acheni izo bwana

Niambie kaka yangu Acheni izo bwana

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Unampigia msichana simu akipokea tu anaanza "niambie kaka angu" au Kijana unamwida mdada wa makamo "niambie dada fenela". Mimi natoka mikoa ya kaskazini wewe unatoka hapa pwani huo ukaka unatokea wapi sasa.....We pokea simu taja jina langu "mambo ben". huo ukaka na udada hapa daslam hamna.
 
Kuitwa kaka hakufanyi usipate unachohitaji, kaka ni mwanzo mwisho baby
 
Hahahahaa af mi sinaga mazoea ya kuita kaka....naita Eli79 tu au Asprin
 
Last edited by a moderator:
Toka simu imeita kuna mtu pembeni anasikilizia itapokelewaje... unategemea nini lazima kaka itumike.. usishangae kuna siku utasikia Ndio Baba, shikamoo...
 
Hahahaha!!kweli mkuu
Unaniita kaka,dada unataka kuninyima nini
 
Unampigia msichana simu
akipokea tu anaanza "niambie kaka angu" au Kijana unamwida mdada wa
makamo "niambie dada fenela". Mimi natoka mikoa ya kaskazini wewe
unatoka hapa pwani huo ukaka unatokea wapi sasa.....We pokea simu taja
jina langu "mambo ben". huo ukaka na udada hapa daslam hamna.

akisema baby unaanza kuwaza kajiongeza so bora akuite kaka kupunguza makali
 
Toka simu imeita kuna mtu pembeni anasikilizia itapokelewaje... unategemea nini lazima kaka itumike.. usishangae kuna siku utasikia Ndio Baba, shikamoo...

hahahahaha....hii kali.
 
Toka simu imeita kuna mtu pembeni anasikilizia itapokelewaje... unategemea nini lazima kaka itumike.. usishangae kuna siku utasikia Ndio Baba, shikamoo...

Umenikumbusha nna rafiki yangu mmoja (hom-boy) ukimpigia simu yupo na kibinti unajua tu maana dada zinakuwa nyiingi ila akiwa peke yake kawaida tu anaita jina....watu wanajishtukia hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom