Mbali ya matiti kuna macho

Mbali ya matiti kuna macho

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Leo nimebahatika kuona macho ya mdada sijawahipo kuyaona ,hana mwili ila macho yake tu ,utafikiri anakwambia kitu na huchoki kumtazama ,ila yeye kukutazama ndio kindende ,mwanzo nilizani anataka ameshikwa na kizunguzungu na anataka kuanguka ,ila hapana yamemfanya yeye mzima kuonekana ni kivutio nafikiri si mTanzania yule maana Tz miwanja kila rangi utazani kasuku wa Brazili.

Utadhani amechoka lakini hapana ndivyo alivyoumbwa ,wala sio wale wenye smiling face ,sijui hapa JF ,nazani wa humu wana macho kama marumaru maneno yao tu yanakatisha tamaa !
 
mtoto kindakindaki jicho kama linataka kutoka nje.,, yaitwa matho ya kulala
 
Nilikuwa najaribu kutengeneza picha yake km namwona vle
 
Kasuku wa brasil yukoje?loh

bird.jpg
 
Leo nimebahatika kuona macho
ya mdada sijawahipo kuyaona ,hana mwili ila macho yake tu ,utafikiri
anakwambia kitu na huchoki kumtazama ,ila yeye kukutazama ndio kindende
,mwanzo nilizani anataka ameshikwa na kizunguzungu na anataka kuanguka
,ila hapana yamemfanya yeye mzima kuonekana ni kivutio nafikiri si
mTanzania yule maana Tz miwanja kila rangi utazani kasuku wa Brazili.

Utadhani amechoka lakini hapana ndivyo alivyoumbwa ,wala sio wale wenye
smiling face ,sijui hapa JF ,nazani wa humu wana macho kama marumaru
maneno yao tu yanakatisha tamaa !

dondosha hapa picha yake nilinganishe kama hataishia kuwa marumaru kama ulivotuita na appeal.
 
Mtaje ntakununulia koni

mwanaume huwa hali koni....

btw bado nakutwa na kiwewe kila nikiyakumbuka yako macho...

namna yanavyozunguka kwa madaha ni kama mshale wa saa watafuta majira vile...

binti umependelewa weye na Maulana...salaleeeeh!!!
 
mwanaume huwa hali koni....

btw bado nakutwa na kiwewe kila nikiyakumbuka yako macho...

namna yanavyozunguka kwa madaha ni kama mshale wa saa watafuta majira vile...

binti umependelewa weye na Maulana...salaleeeeh!!!

Hayo macho yanayozunguka kama mshale ya saa ni yaaje hebu weka picha!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom