Jf best replies

Jf best replies

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,915
Binafsi hakuna watu waliokuwa wananivunja mbavu humu kama majibizano ya Malaria Sugu na Masanilo ......kiukweli nilikuwa nacheka hadi naonekana kichaa kabisa.....ningekuwa nimetulia ningetafuta baadhi ya majibizano yao enzi hizo......
 
Last edited by a moderator:
mkuu likud ulifikiria nini? hahaahaha,

ila kweli kuna comment unaweza ukavunja mbavu.
 
Back
Top Bottom