Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
siku za hivi karibuni nimekuwa siku moja moja nalewea homu nimeona kumbe ni fresh. hakuna risk ya ugomvi,kwa sisi tusioweza kucontrol pombe inatusaidia maana zikiisha zimeisha ni kulala, ukizima umezimia mwako. kubwa zaidi ni kuwa dj mwenyewe. najiuliza ni bar gani nitaenda watapiga nyimbo za blind guardians?. na mnajua pombe na mziki uupendao ni damdam.
hasara naona ni kukosa watu wa kusoocialize nao. we unaonaje kunywea homu?
hasara naona ni kukosa watu wa kusoocialize nao. we unaonaje kunywea homu?