Mwanamziki anayefaa!

Mwanamziki anayefaa!

jacjaz

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
440
Reaction score
210
Amani iwe nawe msomaji.

Ikitokea kwamba maisha yako yanafikia ukingoni na ni lazima mpenzi,mke au mume uliyenae arithiwe na mwanamziki mmoja nje au ndani ya nchi,ungemchagua nani?!

Siku ya msiba wako wimbo upi wa mwanamziki huyo mume,mke au mpenzi wako ungependa asikie au upigwe?!

Nawasilisha
 
Yaani wewe una umri gani bwana? Anaweza kurithi hausigelo hapo na siku ya mazishi kukawa hakuna redio (kiabakari kwao Mwita Maranya sio mchezo atii )
 
Last edited by a moderator:
Kaumri kangu kadogo tu.. Ni kweli ila ningependa tu kufamu toka kwako
 
Kuna Jimbo Moja La Wakenya Linaitwa WANYAMA WA MSITUNI
Jigo
 
Back
Top Bottom