JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba mwenye program ya ku download kaswida
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu kwa utafiti nilioufanya nimegundua imani ni nini? Utafiti wangu huu ninauweka katika kitabu yapo mengi ya kustaajabisha na kubwa la kusikitisha kabisa ambayo yote yanastahili...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Nunda alikuwa yupo darasani na siku hii mwalimu aliuliza darasa ,Je mnaweza kufikiria Mungu anaishi wapi ?Au Mungu yupo wapi ? Akanyanyua mtoto mmoja wa kike akasema Mungu yupo Mbinguni kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau nikiwa kama mwanajamii naomba kukiri kupokea mgao wa pesa za escrow tsh mill 20 nikabadili kavitz kangu na kumalizia banda langu fasta na kuhamia Sasa mnapodai zirudishwe wengine mtatuua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sasa, ungepata dakika chache za kuzungumza na Mh. Rais Kikwete, ungependa kumwambia nini?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa rafiki yangu mpenzi Heaven Sent. Tujiunge kumpongeza.
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Mwalimu alikuwa kiafundisha somo la chemistry na ghafla akauliza ! Mwalimu ; Nini kemikali fomula ya maji ? Nunda : ..H,I.J,K,L,M,N,O. Mwalimu kwa hasira akamuuliza Nunda Mwalimu; hivi mtoto...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
wanajamii kama unajua vilefu vya masomo wakat uko sekondar tupia hapa.mfano HGL=House Girl wa London.PCM=People Confuse my Mind. nawasilisha kwenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kwa kuwa zimebakia siku chache tumalize mwaka 2014, nimeona siyo vibaya tukijadili au kuweka matukio au matamko ya kisiasa yaliyokera au kuchukiza zaidi mwaka huu. Mie naanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wkuu xmas ndio hiyo imefika, migogoro kwa wapenzi ndio muda wake. VP wenza wenu mmepanga kuwanunulia nini na kuwa out wapi? Mimi wangu nimempiga kibuti mpaka January 20.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Can you guess ? Ni kiongozi mkuu ila looklike SuperMario.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
za What does your birth date means Born On The 1st You are a very friendly person. You love the good things in life. You are very ambitious. You seek stable, long-term relationships. You...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamaa akamatwa Nairobi, maeneo ya state house akijaribu kuingiza misokoto ya mmea teule pale ikulu.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamaa kenda kushtaki kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa, JAMAA: Mkuu nimekuja na mke wangu hataki kunipa unyumba bila sababu hebu ongea nae. MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani xmass ndiyo hyo yaja lkn cha ajabu watu badala ya kupumzoka na wanaume zetu badala yake michepuko wanakuwa wanapata nafac hyo magest yatajaa watu watafumaniana jamani wanaume wetu tafadhari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamiiforums ni uwanja / mtandao ulio bize 24hrs. Kuna watu hawalali humu, its either kutokana na nature ya kazi zao au kwa namna nyingine yeyote vile. Wengi wao hukosa flowing nzuri usiku. Basi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…