Nunda (16) Kemikali fomula ya maji

Nunda (16) Kemikali fomula ya maji

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Mwalimu alikuwa kiafundisha somo la chemistry na ghafla akauliza !

Mwalimu ; Nini kemikali fomula ya maji ?
Nunda : ..H,I.J,K,L,M,N,O.
Mwalimu kwa hasira akamuuliza Nunda
Mwalimu; hivi mtoto wewe unaishi duniya ganih???

Nunda; Mwalimu jana ulituambia kemikali fomula ya maji ni H to O :becky:
 
Huyo mwalimu ovyo sana anafundisha kwa kuongea tu hata ubao hatumii.Au labda shule haina chalk.
 
Huyo mwalimu ovyo sana anafundisha kwa kuongea tu hata ubao hatumii.Au labda shule haina chalk.
Unamjua Nunda au unamsikia tu ,huyo mtoto mwisho ,walimu wepya wote wakifika shule yake basi hupewa onyo kuwa wa
kuna mtoto anaitwa Nunda wawe waangalifu na hata wakiuliza suali darasani basi wajaribu kumtenga kiasi wawezavyo isipokuwa hakuna budi tu ,wala wasije wakajaribu kushindanna ila kuna walimu wabishi wanataka kuonyesha kwamba Nunda si lolote si chochote,walimu hao huishia kuumbuka ,wakati waliambiwa msiseme hamkuambiwa:becky:
 
Back
Top Bottom