Tupia tukio au tamko la mwaka

Tupia tukio au tamko la mwaka

don xxx

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
1,111
Reaction score
1,019
Habari zenu wakuu,

Kwa kuwa zimebakia siku chache tumalize mwaka 2014, nimeona siyo vibaya tukijadili au kuweka matukio au matamko ya kisiasa yaliyokera au kuchukiza zaidi mwaka huu.

Mie naanza na tukio la wizi wa kalamu wa Escrow Akaunti,pia kauli ya Jaji Welema kuwa Kafulila ni TUMBILI.

Haya tupia hapa tukio au/na kauli ya kisiasa iliyokukera zaidi kwa mwaka huu 2014
 
Back
Top Bottom