Nimwambie Mumeo Au

Nimwambie Mumeo Au

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Jamaa kenda kushtaki kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa,
JAMAA: Mkuu nimekuja na mke wangu hataki kunipa unyumba bila sababu hebu ongea nae.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza sababu zake kwanza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba?
MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka kazini nikimwambia dreva sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee akitaka namnyima.
MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa nimwambie mumeo au?
 
Mwambiee....nitamuuliza hubby utaniacha au? Hahahaaaa
 
Back
Top Bottom