Kutana na POPO wa JamiiForums hapa

Kutana na POPO wa JamiiForums hapa

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Jamiiforums ni uwanja / mtandao ulio bize 24hrs. Kuna watu hawalali humu, its either kutokana na nature ya kazi zao au kwa namna nyingine yeyote vile. Wengi wao hukosa flowing nzuri usiku.

Basi kwa wale wote wakeshao ikiwa ni kila siku au mara moja moja, twaweza kutana huku na kuibua na kujadili hoja mbali mbali kwani kwa muda huu thread nyingi zinakua zimepoa.
 
Ujue members wa jamii forum wako dunia mzima wengine muda huu ndiyo wanarudi makazini
 
wewe ukiamka asubuh ukaenda kazin na ukanywa chai mi ndio nalala.
 
vile vile wewe ukilala mi nakuwa kwenye mishemishe na nakuwa JF kama kawa
 
Back
Top Bottom