Project ya kuishangaza na kuisikitisha dunia

Project ya kuishangaza na kuisikitisha dunia

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,408
Jamani ndugu zangu kwa utafiti nilioufanya nimegundua imani ni nini? Utafiti wangu huu ninauweka katika kitabu yapo mengi ya kustaajabisha na kubwa la kusikitisha kabisa ambayo yote yanastahili kuingia katika kumbukumbu za utafiti wa dunia hii.

Je ni taasisi gani Tanzania ninaweza kupeleka project hii?
 
Back
Top Bottom