jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Wkuu xmas ndio hiyo imefika, migogoro kwa wapenzi ndio muda wake. VP wenza wenu mmepanga kuwanunulia
nini na kuwa out wapi?
Mimi wangu nimempiga kibuti mpaka January 20.
nini na kuwa out wapi?
Mimi wangu nimempiga kibuti mpaka January 20.