DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 444
- 654
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Mungu ameskia kilio cha Walimu.Imetangazwa rasmi na rais ktk vyombo vya habari kuwa walimu wote nchini wataanza kulipwa posho ya Tsh185,000/= tar 15 ya kila mwezi na mshahara wako wa mwezi uko palepale. Hii ni ya huko Mexico kwa tanzania bado kidogo,vuteni subira.