mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 535
Ndugu Wanajamvi! Wasalaaaam...
Kusimama ktk kundi la watu na ukaongea kitu (POINT) Iwe -/+ ni KIPAJI..
Leo nimesimama katika BWALO chuoni kufanya PRESENTATION nilihisi neva za fahamu zimekuwa Out of system kwa Muda...
Hakukuwa na WATU wengi almost 200 tu! Ila hali yake ilikuwa mbaya! Nafkri after 15min bdae ningetoa MKOJO kama sio NGAMA kbs....
WAACHENI KINA muhongo,Tibaijuka na TEAM escrow Wapge mihelaa kwani wamesimama sana majukwaani na ni KIPAJI