Hilarious kids' test answers

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739

a8f3cb8760a1989b9b0e927dfb383706
 
Aisee hizi zinachekesha mno mno! Hiyo ya find x ni kiboko! Watoto mara nyingi wanatumia logic badala ya ufahamu kiasi kwamba kwenye mtihani unajiuliza: Hili jibu alilotoa nimpe 0 au 5%?
Tatizo kubwa ni framing ya maswali ya mtihani. Kwa nini kwa mfano unauliza find x badala ya what is the value of x?
Waalimu wanatakiwa 'waframe' maswali yao ili yaeleweke.
 
ni kweli lakini ikiwa mwanafunzi umeshamueleza, hawezi kukufanyia utumbo huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom