Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,079
- 469
Nani mtani jembe? Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja mume karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
MUME: Fungua mlango!
MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako.
MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa.
MKE. Kufa huna faida yoyote duniani!
MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo dubwi!
Mara mke kajifunga kanga moja tu, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
MUME: Piga kelele na wakija uwambie unatoka wapi usiku huu na khanga moja. Nan jembe hapo, mume au mke?