Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Habari kwenu, Napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, natimiza miaka kadhaa.
Shukrani kwa mwenyezi mungu, wazazi wangu, ndugu jamaa na marafiki kwa upendo na kunijali mpaka kufikia leo hii. Naomba upendo na ushirikiano uendelee.
Ahsanteni sana.
Cc: mshana jr masai dada HARUFU miss chagga kyalankota utafiti Amavubi MziziMkavu na wengine wote.