Ma house girl wa kisasa ni shida...

Ma house girl wa kisasa ni shida...

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,667
Reaction score
17,247
Nimempata mmoja ths moment.. Yuko na cm yake like hawezi iacha..

Hana hata aibu mbele yetu. Ths is hard.

Jamani kama mlishakutana na hali kama hii.., mlifanya nin?
 
.., sasa ana chat na nani..??

Na mimi nina shida kweli ya HG.

NIMPOKONYE CM? Ili ausome msimamo wangu frm the start. Kwamba si entertain nonsense..??
 
Kama anafanya Kazi zote vema za home,muache tu angaike na CMU take,house girl wote washamba na CMU alafu basdhi yao in vicheche.
 
Kwa kuwa yeye si mkeo mwache na uhuru wake wewe mpe schedule yako na scope ya kazi akishindwa umjudje katika ukanda huo!
 
Kama anafanya Kazi zote vema za home,muache tu angaike na CMU take,house girl wote washamba na CMU alafu basdhi yao in vicheche.

ndo kwanza kafika,,, 1st day yuko busy na cm.
 
.., sasa ana chat na nani..??

Na mimi nina shida kweli ya HG.

NIMPOKONYE CM? Ili ausome msimamo wangu frm the start. Kwamba si entertain nonsense..??

Hao dawa yao ni ndogo. Mie nilikutana na wa aina hiyo nikablock line kwa kuweka password kisha nikaitia sim kwenye maji. Pambaf zake akawa mdogo. Then nikamnunulia cm ya mezani. Anaitumia mpaka leo.
 
Anawajulisha ndugu zake amefika salama na kuwapa taarifa ya mazingira ya kazi na muonekano wa boss.

Ok...! My son is getting to like the company., with her.
 
.., sasa ana chat na nani..??

Na mimi nina shida kweli ya HG.

NIMPOKONYE CM? Ili ausome msimamo wangu frm the start. Kwamba si entertain nonsense..??
Mwambie tu kuwa, watu huwa hawa chat wakati wa kazi,
 
Mwambie tu kuwa, watu huwa hawa chat wakati wa kazi,

Tatizo la house girls huwa hawana au hawapewi schedule ya kazi!! Kwamba muda wa kazi unaanza saa ngapi hadi saa ngapi ili aweze naye kufanya mambo yake binafsi!!

Kinyume chake ni kwamba akiamka saa kumi na moja alfajiri kulala saa tano usiku, kazi mtindo mmoja hakuna mapumziko!! Muda gani unadhani atapewa awe free hata kutumia simu??
 
Mpe utaratibu wako na masharti yako ya Kazi.but housegal wa cku hizi shiiida tupu ..but housegirl wangu ananfanyia Kazi vema bila kumuimiza,akimaliza Kazi ruhusu yake kuchat.
 
Mpe utaratibu wako na masharti yako ya Kazi.but housegal wa cku hizi shiiida tupu ..but housegirl wangu ananfanyia Kazi vema bila kumuimiza,akimaliza Kazi ruhusu yake kuchat.

Ni kazi, wko aware na some issues.,, ma hausgrl weng sasa wamemaliza form four.
 
Hahaha nayeye yumo humu JF na kwa taarifa yako wana group yao Kyle WTs up na FB
 
men im confused,,, masterminds wa uhalifu wa kisasa tunaishi nao..

Knowing each and everthn about you..

Men

Pole ila ni vyema ukafanya uchunguzi ili ujiridhishe usije kuwa unaishi na nyoka ndani...Sina hakika kama mtu makini unaweza tu kujitwalia mfanyakazi bara barani bila walau kuwa na ABC yake!
 
Sasa kazi ya kum monitor HG ni yako au Shemeji...
Usiingilie majukumu ya mkeo..
 
.., sasa ana chat na nani..??

Na mimi nina shida kweli ya HG.

NIMPOKONYE CM? Ili ausome msimamo wangu frm the start. Kwamba si entertain nonsense..??

Kumnyang'anya sio haki! Ana haki sawa na mtu yeyote kumiliki na kutumia simu. Ila mkumbushe kuwa asizidishe matumizi ya simu na kusahau kazi zake. Unaweza kuchukua hatua nyingine zaidi kama vile kumuonya tena, kabla ya hata kumtimua kazi endapo hatakuelewa.
 
Back
Top Bottom