JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna sms za whatsap za mpenzi wangu zinaingia kwangu sijui ajui ni kama anakosea kutuma anazotuma zinaingia kwangu, sijui nimshtue.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo ni aprill's fool kuwen makin na taarifa mtakazo zipata
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumekutana kwenye conference ya mkutano wa kimataifa ambapo mgeni alikuwa makamu wa Rais, mi niko bize na mikamera yangu na yeye ana kinotebook tu, mara ile tunatoka ooh nipige picha nipost...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu, Hamjambo wote? Sikukusudia kuwa na kitu kiitwacho part ii ila imebidi iwe hivyo kwa sababu nilipoanza, umeme ulinikatikia katikati kabla ya kumalizia thread.Nikamalizia kwa kusema kwamba...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa fulani jina linahifadhiwa kapuni alifunga ndoa juzi juzi na mtoto mmoja mrembo tena kabinti cha ukweli.Wiki mbili tu baada ya ndoa jamaa aliamua kudhihirisha kuwa yeye ni mtaalamu mwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mume karudi nyumbani kamkuta mkewe kalala na jamaaa kitandani kwake akamuulizaaa!! Mambo gan haya mke wanguuu? Mke akamjibuu! Huyu jamaaa nlimkuta sokon anaomba chakula ikabd nmlete hapa nyumbani...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Leo naongeza umri, nimshukuru Mungu kwa kunifikisha hapa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu, shimo langu la mererani limetema vizuri sana wiki ilopita na kwa makadirio ya haraka ntaambulia kiasi cha kama milioni 500. Kiasi hicho pamoja na akiba niliyojiwekea, nadhamiria kuinunua...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo kutakuwa na maandamano nchi nzima ya wanawake, kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa nne asubuhi mwisho. Lengo ni kuitaka serikali kuweka kwenye katiba kipengele cha wanawake kuruhusiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya haya shindano jiipya na la aina yake. Shiriki kwa ku-coment maneno yoyote. Ukibahatika kuwa wa mwisho ku-comment utajikulia gari mpyaa, laptop 5, piki piki 2, pamoja na fedha taslimu shilingi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Vijana wa sasa naweza kusema wamekosa hadithi na mafundisho mazuri kuliko yale tuliyopata sisi Zamani. Naomba leo niwakumbushe 1. KIBANGA AMPIGA MKOLONI 2. SIKU YA GULIO KATERERO 3.NDOTO ZA...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
You can fool all the People some of the time, and some of the people all the time, But you can not FOOL the Person which is alrdy FOOL. Nice quote na if like this Read Again Happy BeautFool
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Wanajamvi, usiku wa leo nilikuwa naoga mida ya saa4 unusu hiv usiku. maji yakapelea nikamwagiza mdogo wangu anongezee maji. Kama kawa alishazoea akitokka anapiga roky. Ebwana eh namaliza kukoga...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mdogo wangu ana rafiki yake ambaye amepoteza simu aliisahau kwenye bajaji, walivyoniambia kuwa ni samsung galaxy nikaona ni rahisi sana ku i trace . Kwanza aliyeikota ni mwanaume na alivyo...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Habarini wanaJF, wadau, na wachangiaji wote humu ndani. Leo nimekumbuka baadhi ya vitabu vya hadithi vya kiswahili nilivyovisomaga enzi zilee. Vitabu kama vya Someni kwa Furaha, Hadithi za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habarini za wakati huu, Nimeona ni vema na haki kulileta hili jambo kwenu, personally it has been long time tangu nimuone huyu jamaa humu jukwaani kwa mara ya mwisho. Bategereza alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Aisee jana niliota nipo na binti moja maarufu humu MMU tuna-do,sijawahi kuona hata sura yake,sijawahi kumtumia hata pm,sijawahi kumsalimia hata kwenye thread,ila huyu mrembo alikuwa mtamu kwenye...
0 Reactions
137 Replies
9K Views
Baada ya kushuhudia sare nyingi za jesh alipokuwa anahojiwa alisema" majeshi,majeshi,majeshi' baada ya hapo akazimia,kakimbizwa TMJ
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…