tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Hii ni shule inayopatikana katika Mkoa wa Mbeya ni kilometa 12 kutoka mji wa Tukuyu, kwa waliopita uko ukitoka Tukuyu unatembea mpaka karibu na makandana hospital unaacha barabara ya Kyela kushoto unashusha kulia.
Ni shule iliokuwa maarufu sana miaka ya tisini hata mwanzoni mwa miaka 2000, umaarufu wake ulitokana na elimu bora, mazingira na uwongozi wa Venans mMnga kama (Head master(R.I.P).
Pia na ushirikiano wa kutembeleana baina ya wanafunzi na walimu wa shule hii na wanafunzi wa shule moja ktk kijiji cha cubria iko UK,mimi mwenyewe nilikuwa miongoni mwa wanafunzi kutembelea Ulaya UK , kwa mgongo wa shule hii.
Miongoni wa watu wenye title waliopita hapa ni kama,Shedrack Nsajigwa,(Yanga former player) Rehema Mwakangare(R.I.P)ITV, Professor JAY, Isaak Mpayo(ITV) na mimi mwenyewe nipo (TS) state nyumba,niambie wapo wapi walimu nikumbushe, Mwakanyasi, Mwakarobo, Mwafulilwa, lyata,Mwakibinga, Kyejo, Sondii, Paul,Masabo, mdesa, kumbuka mito inayozunguka shule hii Kala & Kipwera river,
Tuendelee tuliopita shule hii ya bording na day