Mgeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgeni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Feb 24, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Msela mmoja alipata mgeni ambaye ni rafiki ya wa zamani waliesoma nae...kwa kuwa ilikuwa ni jioni ilibidi jamaa amkaribishe jamaa alale kwake ili kesho aendelee na safari yake..
  xaxa msela kapanga na anachumba kimoja tu sebule imetenganishwa na pazia...
  ilipofika mda wa kulala msela akataka GAME..
  mme _"sasa wife fanya mambo basi maana nahisi baridi kweli"
  mke_"kaaah!! Wee mme wangu! Huoni tuna mgeni..hata aibu huoni?"
  mme_"ok poa..potezea basi"
  msela akaenda kulala sebuleni na mgeni..kumbe mgeni kasikia newz yote..
  usiku mwenye mali alipolala mgeni akaenda kwa bed si akaanza kufanya mambo..
  mke_"we husband king'ang'anîzi kweli haya bhana umeshinda wewe"
  mgeni_" mmmh..mmh..mh."
  asubuhi kuamka mgeni hayupo ndipo mke akamuuliza mme wake.._"we jana nakwambia tusifanye we umeng'ang'ania tu ona sasa hata mgenikakwepa aibu"
  mme_"haaaah!!.. haaah..!!haah.. !!hah!! Yaani! Yaani! Mimi huyu wa kunifanyia hivi?"
  mke_"kwani kuna nini mme wangu"
  mme_" yaani kaondoka hata kuniaga hakuna!?"
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Thnx, sir/madam.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kumbe upo tai,...nimeshakumiss
   
 4. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nipo wangu, inabidi leo nisiumize sana akili si unajua ni w'kend inanusa?
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  teh teh heri yako mi hata kesho nawajibika,siku ya kupunzika ni jumapili tu
   
 6. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hapa usitegemee neno pole ni wajibu utakula kwa jasho, Hongera.
   
 7. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna wageni wengine noma! du
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,173
  Trophy Points: 280
  Hhuyo hakuwa mgeni ila pepo mchafu wa ngono
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hahahaha,hahahhaha,
  Jamaa anaona so kusema sio yeye aliyekula mzigo lol!
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  yaani mgeni siku hiyo hiyo ya kwanza anaharibu mambo
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kweli jamaa pepo
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hehehe ila mke naye kazingua,ina mana alipokuwa anafanya na jamaa hakujua kwamba fleva niza mtu mwingine?
   
 13. michael western

  michael western JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2015
  Joined: May 7, 2014
  Messages: 548
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  .............noma
   
Loading...