WHY madaktari na scientists huwa WAFUPI???

WHY madaktari na scientists huwa WAFUPI???

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
Hii kitu nimeichunguza miaka mingi sana, ukienda hospitalini, madaktari wengi tena bora utakuwa wafupiiii, yaani wakati mwingine ukiambiwa huyo ndio anaenda kukuhudumia huwezi amini utadhani wanakutania vile. halafu hata mashuleni, kati ya watu wanaochukua combination ya sayansi wengi utakuta vile vijeba vifupi yaan havieleweki unaweza kuvidharau. kila ukienda hospital jaribu kuchunguza, kati ya madaktari 10 nane ni wafupii, why?
 
Back
Top Bottom