SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Nilidhamiria kuandika series kuhusu kazi na majukumu ya Mods wa JF na umuhimu wao
kwenye online forum kama hii yenye wanachama zaidi ya laki tatu.
Madhumuni ni kutufanya tu-appreciate kazi zao na kuwapa ushirikiano.
Nilipoanza sehemu ya kwanza wiki iliyopita, baadhi ya komenti za wadau zilinionesha
indiketa kwamba kuna kitu kibaya kiko mbele iwapo nitaendelea. Kitu hicho nilikihisi tangu mwanzo
kwa kutoa tahadhari. Tahadhari hiyo hata hivyo haikuzingatiwa na mimi kwa kuzingatia
bango la Invisible lisemalo: ficha upumbavu onesha hekima na busara, nimeamua kutoendelea na mada hii ambayo
itageuzwa kuwa jukwaa la kuwashambulia mods kwa maneno makali (hasa wale wadau waliopata ban).

Last edited by a moderator: