JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
chiNeSe woMan 燽倓痰翥奎畇祓郪祓戉嬼十木戈$錟川流不息&#30340...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jaman washkadau, Kati ya wale watoto wawili wa bwana mkubwa wa Dunia ambae akienda sehemu hadi barabara za vumbi zinadekiwa, nimempenda yule mkubwa yaani nimemwelewa yupo vizuri kama Mnyarwanda...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kichaa mmoja aliamua kupiga simu hospitali na ilikua kama hv, kichaa:haloo,samanahani.chumba namba 27 kina mtu? Muuguzi:subiri ngoja nikaangalie. Kichaa::ppouwa. Muuguzi:hakuna mtu.....kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Lazima utapiga ukeleletu. Maana yangu ni kwamba mgongo wa kuku wa kienyeji ukiwa mkavu kwa ugali wa dona.:becky:
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Teacher:Name the types of gases you know. Moha:Nitrogen gas Lilian:Oxygen gas Me:Tear gas Teacher:visibly angry,"I am giving you one minute to give me a correct answer. Me:(thinking hard and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yeyote kama yumo ndani ya jamvi aliyesoma kipindi hicho au hivi karibuni atujuze matokeo na maendeleo kwa ujumla. Kipindi cha 1990, tulikuwa 25 tuliofanya mtihani wa taifa wa IV. Je miliofuatia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hamjambo?
1 Reactions
0 Replies
873 Views
Tunatangaza kifo cha Steven Pius Mallya kilichotokea usiku wa kuamkia tar 15 Mei 2015, maziko yatafanyika tar 19 Mei 2015 nyumbani kwake Kibosho Maua Kati, habari ziwafikie ndugu, jamaa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako, Baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo. Kwaharaka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Wakuu habari, ...nina cmu yangu tajwa hapo juu ila ina tatizo la internet, kwamba inaconnect vzur 3G kabisa ila nkianza kutumia tu inanambia 'no internet connection', hata nkiconnect wi-fi...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
wakuu imetokea ngarenaro jana mchana mchaga alidumbukia kisimani sasa akaja jamaa moja mpare na kamba ndefu kumsaidia kwa kumtupia kamba kisimani ili amvute juu,maongezi yakawa hivi,JAMAA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
"Mwenda tezi na omo marejeo ngamani" Wapendwa wanachitchat, kama kuna mtu anayeuamini msemo huo hapo juu, ni mimi. Mwezi june 2012 nilifanya urafiki na mwanamama mmoja hapa jf lakini April 2013...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Habari zenu waungwana wa Chit chat, Leo naomba niwaeleze hisia zangu jinsi mjanja fulani alivyoniingizwa choo cha kike hapa jf.Baada ya kujiunga na jf mwezi desemba 2011,nikitumia id ya HYGEIA...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Salaam wakuu, katika jina la Muumba. Mabibi na mabwana leo ni siku yangu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Najitakia maisha mema na heri ya baraka tele. Asanteni nawasilisha
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nashukuru mungu sana. Baada ya kuacha mambo yangu yalikuwa hovyo sana, pamoja na kutumia fedha vibaya lakini baada ya kuanza kulipuka daah im feel so peacefull and blessed. Shukrani.
9 Reactions
106 Replies
12K Views
7f7d31d0 add me please
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Hii tabia inanisikitisha inanisononesha inaniumiza na zaidi inanihuzunisha, unakuta mtu anakufata pm mnachonga unarusha ndoano badala ya kukupa jibu huyo anatokomea kusikojulikana baada ya siku...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dada zetu wahudumu wa bar kwanini mteja wa kiume akija kunywa bar peke yake mnamchangamkia kwa bashasha uchangamfu kibao lakini mteja huyo huyo akija tena kunywa na mke wake mnanuna na kukunja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi ni njia mpya za wanawake facebook/WhatsApp: 1. kutafuta mwanaume/wanaume, 2. kuona wanaume gani wanafuatilia mambo yake na wanavutiwa naye, 3. kwa wanawake walioolewa kutangaza kuwa ndoa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
1.Kama tunatakiwa tusi-drive tukiwa tumelewa kwanini bar kuna parking? 2.Kama tunatakiwa tu-sex ndani ya ndoa kwanini tunabaleghe kabla ya kufunga ndoa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…