Hii Nimeikuta mahali Nikacheka sana. Sijaitafsiri ili kutoiondolea ladha.
Mouthology:
A Professor was traveling by boat. On his way he asked the sailor:
Do you know Biology, Ecology, Zoology...
Salam wakuu,
Sasa katika pita pita za town nikakutana na huyu dada aliyekuwa rafiki yangu wa kike wa secondary niliyemuacha fprm 2 wakati namaliza form 4, tukaendeleza uhusiano hapa na pale...
Habari yenu? Najua wengi hamnijui lakini niliwahi kuwepo hapa zamani siku hizi napitapita nasomma sredi nacheka mpaka nashikilia mbavu stress zote zinaisha.
Haya wale wazee wenzangu na Vijana...
Habari wana jf, Mimi ni member wa humu ndani muda kidogo lakini huwa nasoma tu michango na matukio ya watu ambayo hupitia katika maisha yao na kuamua kushare na watu ili wapate angalau uahauri au...
Wadau JF, nipeni ushauri.
Kuna mtoto wa kigogo mmoja wa nchi yetu hii changa tumetokea kupendana mpaka raha jamani, tatizo kubwa lililonileta hapa jamvini ni kuhusu baba yake (baba mkwe wangu)...
Angalia huu mchezo wa kutuma message mara zikatae kwenda mara zikubali??? Network mbovu kama hii haijawahi kukuta???
Girlfriend >>> hellow sweetheart
Boyfriend >>> hellow darling(sending...
Habari wana JF
Vitu hvyo ni kuwasha moto hasa jiko la mkaa,kuosha vyombo hasa masufuria yaliyopikia ugali,kutandika kitanda na kuchomeka net.
Hebu tuambie na wewe za kwako
Jamaa yetu mmoja mtaani wa kuitwa Gatuso anapenda sana utani. Siku moja alikuwa amekaa barazani kwao akiwa amepiga nne (mkao wa kuweka mguu juu ya mwingine) kwa raha zake. Sasa akapita mshkaji...
Habarini
Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-
■...
Wewe mtoto wa kiume unaeandika "xxx" badala ya "sss" hizo ni dalili za u-KE. Wewe mwanaume unaejisifia eti we handsome, una macho mazuri, unapendwa sana na mademu, sijui nini na nini... huo ni...
Kuna baadhi ya maswali kiukweli hayana umuhimu wowote wa kuulizwa au kujibiwa kwa maana majibu yake yanajulikana kwa mfano wapenzi wakiwa chumbani wakati wa romance mmoja anamuuliza mwenzake 'hivi...
Thank God kwa kuniumba more than anybody in this world. Am special one more than Morinyo and anybody.
Muacheni Mungu aitwe Mungu aisee,nakupa sifa nashukurani muumba mbingu na ardhi. Umesema...
Rafiki yangu Alex John Luketa aliyepo Virginia Marekani alinieleza kisa fulani na mm nikaona si vibaya kushare hapa. Ni kisa cha kuchekesha kinachoonesha namna wazungu wanavyotuibia.
Kwa kuwa...
Jamani, kuna katoto nimekaona Instagram na wapambe wake eti kamechukua form ya kugombea urais na ukiangalia hata sifa za kugombea hakana mana umri wake ni mdogo. Ila nahisi utakuwa mchezo mchafu...
Dah kweli kila kitu kina msimu siamini kama kale kamchezo kakuandika majina ktk chupa za soda kameadimika maana ilikua kama mashindano....ilitaka kusababisha hatar ktk mahusiano baada ya mpenzi...
Guy Code
The code by which each and every man must and will follow. The code is for a man's eyes only; any woman found guilty of reading the guy code will no longer be communicated with by any...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.