Una Kitabu Cha Mdunguaji / Mkimbizi? Weka Bei Hapa

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Ndo Hivyo Wakuu
Wakazi Wa Dar Watapewa Kipaumbele
Used Ila Kisiwe Kimechoka
Jigo
 
Nenda pale block 41 Kinondoni nyuma ya jengo la Airtel.
Jamaa ana duka lake pale,utapata hivyo vitabu vikiwa vipya kabisa kwa shilingi elfu 10.
 
Hapo Sawa Mkuu
Umemaliza Kesi
Kesho Nasogea Hapo
Asante Sana
 
Back
Top Bottom