Vituko vya Gatuso

Vituko vya Gatuso

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
Jamaa yetu mmoja mtaani wa kuitwa Gatuso anapenda sana utani. Siku moja alikuwa amekaa barazani kwao akiwa amepiga nne (mkao wa kuweka mguu juu ya mwingine) kwa raha zake. Sasa akapita mshkaji mmoja akamwambia, "Gatuso, naona umepiga nne hapo!". Gatuso akajibu, "hii sio nne kaka, ni arobaini maana sifuri nimeikalia".
Gatuso hana adabu kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom