JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pretty simple game: I'll start naming a song that begins with the letter A, the next person name a song start with the letter B, the next names the song with the letter C. After reaching Z we'll...
0 Reactions
347 Replies
16K Views
Hii ni haki ya walio macho mida kuendelea kushare Yale yaliyojir siku nzima karibun
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Jamaa kanisani yupo karibu na mrembo: Jamaa: Dada mi nakupenda sana Mrembo:Kaka naomba tumsikilize mchungaji Jamaa: Nipe nafasi uwe mtawala wa serikali ya moyo wangu Mrembo: Kaka niache nisali...
5 Reactions
19 Replies
12K Views
Hahaha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KABLA YA NDOA MAMBO HUWA HIVI Mme: Ooh! Nataka sana iwe hivyo. Mke: Vipi, wataka niondoke? Mme: Hapana hata kidogo. Mke: Unanipenda? Mme: Ndo maana yake Mke: Utakuwa na mpenzi mwingine...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huawei ascend Y530 for 150,000 Huawei ascend Y330 for 85,000. tukutane humu715378899
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Walio macho muda huu tupia neno
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Ninakimada changu ambae npo nae kitambo ss, ila kuna demu jirani yangu ambae ananidatisha kimtindo ingawa hamfikii kimada wangu. Imani iliponishinda ilibidi nimweleze ukweli na shukrani alinielewa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Salamu, Jamani mmepotelea wapi ? Mimi miss you girls kwa mingi mingi sana. Nimewakumbuka sana sijawaona jamvini. I love you all my sweethearts. Many Kisses ziwafikie popote mlipo. Mwaaha Happy...
0 Reactions
5 Replies
937 Views
Naomba majibu tafadhali
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Samahani jamani eti hivi "FACEBUKU" na "PANYABUKU" ni ndugu?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nyumba moja waliyokuwa wakiishi baba na mama, kulikuwa na panya waliokuwa wakisumbua. Mke akamwambia mume 'tafuta mtego wa panya tuwatege hawa panya, wanatumalizia nguo ndani.' Mume akanunua...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Musa alitaka kupima uaminifu wa rafiki yake walioshibana toka utotoni. Akatunga safari. Akamwambia amepata safari ya kwenda ng'ambo, itakayochukua miaka 10 mpaka kurudi. Akaamua kumfunga...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
(1)Mkude aliliwa na simba kwa mbinde saana, alifukuzwa na simba toka porini akaja kuliwa mlangoni kwake! (2)Mkude aliovatekiwa na mloka kwa mbiiinde saana, aliongoza ligi toka matombo akaja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi zile nikiwa bado chalii mdogo tulienda sehemu fulani palipokuwa na ubwabwa wa shughuli. Basi tukajikusanya kama watoto watano hivi, kisha bonge la sinia la ubwabwa likatua...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Jamani jamani. Eti hivi ndivyo mahojiano yalivyoenda: Mpelelezi: Hebu soma Biblia kitabu cha Tito 3:2. Gwajima: Kwa Ujasiri, 'Wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Salaaam wana JF! Pamoja na kuwa nimesoma soma kuhusu Dar es Salaam. Sasa nimepata bahati nakuja huko ijumaa hii, naomba ushauri nizingatie kitu gani, ntafikia kwa ndugu yangu atanipokea stand...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari za wakati huu wakuu, mimi nimemaliza old boys mwaka huu, naomba kujua wanajamvi wenzangu waliomo huku ndani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wadau, Nimeingia hapa kitaani kwenu. Tutafutane tusabahiane na mjitokeze tufahamiane. Nipo hapa mpaka weekend. Wenu katika ujenzi wa jukwaa
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Back
Top Bottom